Monday, November 29, 2010

Leo rafiki mmoja alinichukua kwenda kujumuija na mtoto wake Elise huko shuleni kwao ambako alikuwa anapata pongezi za kufanya vizuri katika masomo yake, ambayo amepata GP 3.50. Kulikuwa na wanafunzi zaidi ya 25. Kitu kimoja ambacho kilinishangaza ni kwanza kwa mwanachama yoyote kuendelea kuwa humo kwenye Society anahitajika kufanya social activities 4 kwa kipindi kizima cha mwaka wa shule. Wanahitaji pia kuendelea kupata grade 3.5 kila muhula wa shule. Akipata grade za chini atapewa muhula mmoja to make it up. Akishindwa tena anatolewa na hatapokelewa tena. Very interesting.
The building was so big and beautful. In one point after I saw the big building and fancy stadium, and everything looked so parfect, I thought mmm why do some American students drop from school while they are given everything they need for education. They have nice schools, books, pen/pencils, and so on, while in Africa, you can barely have a pencil to use in classroom, but still our young cry for school.

1 comment: